Nature Apewa Shavu Na Lowassa

Msanii mkongwe katika game la muziki wa kizazi kipya, an icon, Temeke native, Juma Nature, ni moja ya wasanii waliotokea kupendwa sana nchini Tanzania, Juma Kassim Nature a.k.a Kiroboto ameweza kumantain game na kuendelea kuwa msanii anayependwa ingawa hajatengeneza hit siku nyingi. “mimi ni bidhaa tayari, tena yenye ubora, toka… Read More →