Filamu Fupi Ya “Good kid m.A.A.d kid city” ya K.Dot Kutoka Agosti 9
Kendrick Lamar na Kahlil Joseph wameungana kwa ajili ya kufanya filamu fupi ya “m.A.A.d” ikiwa inazungumzia sana sana albamu ya kwanza ya K.Dot ya “good kid m.A.A.d city”. Filamu hiyo imepangwa kuwa ya dakika 14 na itafanywa kwenye tamasha linalokuja la Sundance taarifa za Fader zilieleza.Joseph ameshinda tuzo ya Sundance… Read More →
