Mapenzi Ya Tyga na Kylie Jenner Yafikia Ukingoni!
Tyga na girlfriend wake wa siku nyingi Kylie Jenner imeripotiwa mahusiano yao hatimaye yamegongvukingo, TMZ inaripoti. Jenner ndiye anayeripotiwa kuvunja mahusiano hayo na Tyga siku ya Alhamisi usiku, kitu kilichosababisha waachane ni msukumo kutoka kwa familia ya Kardashians. TMZ pia inaripoti kwamba Jenner hakuwa mmoja wa watu waliohudhuria sherehe za… Read More →