Baada Ya Kujitangaza Kuwa ni Muathirika Wa HIV, Jamaa Huyu Sasa Ajitangaza kuwa Ni Shoga. Je Unaweza Kumtambua Kwa Kumtazama Tu?
Mwanamume Huyu ambaye ni Brand expert kwa jina Kenny Badmus ambaye alitumia ukurasa wake wa FaceBook Kuuambia ulimwengu kwamba yeye ni Muathirika Wa Virusi Vya Ukimwi Katika siku ya ukimwi duniani mwezi December Tarehe Moja Kenny Badmus kwa mara nyingine tena amejitangaza kuwa yeye ni shoga , aliandika jinsi… Read More →