Usiamini kila kitu unachosikia, uvumi umekuwa ukiendelea kitaani kwamba Kim Kardashian anafanya mikakati ya kuiacha kipindi chake kilichompa umaarufu sana kinachoitwa Keeping Up With Kardshian, hayo yametokea baada ya gazeti la Star kutoa toleo lililoandika kichwa cha habari “Kardshian Canceled” na kuandika kwamba Kim K anaacha TV show hiyo.
Taarifa za E! Star herself amesema sio kweli.
“Nimesikia uvumi mbaya kwamba naacha kipindi cha TV, Siwezi kusubiri kuandaa msimu wa 10, Nina kazi nzuri kuwa na familia yangu siku nzima” alitweet Kim Kardshian jana Jumatano.
Wakati huo huo Kim amepost picha alizopiga kwa ajili ya gazeti la GQ ambazo ni hatari ziko katika mitandao mbalimbali.
Salmamsangi.com imemsaidia pia kupost.