Somali Nchi Mbaya Zaidi Kwa Kinamama – Save The Children

Shirika la Save the Children limeitaja Somalia kuwa nchi mbaya zaidi duniani kwa akina mama, na limetoa wito wa kuchukuliwa hatua zaidi kuwalinda kina mama na watoto katika maeneo yanayokabiliwa na migogoro. Shirika la Save the Children lenye makao yake jijini London Uingereza, linakadiria kuwa wanawake 800 na watoto wadogo... Read More →