
Boss Lady wakenya kama anavyojitambua mwenyewe Hudda Monroe ambaye kwa mwaka huu alikua ni moja ya Muwakilishi kutoka Kenya katika mashindani ya Big Brother The Chase na kutolewa katika hatua za awal kabisa amefanya kioja cha ajabu kati ya matukio yake ya hatari baada ya kujipiga picha ya makalio yake na kuiweka katika mtandao wake wa insta Gram huku akiwatakia usiku mwema marafiki walio mfollow humo
